HOME

Thursday, November 15, 2012

MISS TANZANIA 2010 AKUMBWA NA KASHFA YA PICHA ZA UCHI

Katika Hali ya Kushangaza leo asubuhi mitandaoni hasa Facebook blog yenye jina la Miss Geneviv Mpangala inasambazwa ikiwa na picha zinazosemekana ni zake za utupu (Hatuna Uhakika) na kusema kuwa anajiuza na number ya simu imetolewa....

Mtandao huu kwa kuangalia hiyo blog kwa makini inaonekana kuna mtu ana bifunaye na hivyo kadhamiria kumchafua au kumuumbua ..

Tunasema hivi kwa sababu blog hiyo ina post moja tu ambayo ndio hiyo ya huyo dada .....

Haya ni baadhi ya maelezo katika blog hiyo:

No comments:

Post a Comment