Friday, November 16, 2012

NU VIDEO/LINEX FT SUMA LEE "BODA BODA"


Msanii wa Bongo Fleva hapa nchini almaarufu kama Linex baada ya kutamba na ngoma ya ifola mpaka kupeleka mashabiki wa Bongo Fleva kumkubali katika game la hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu kama ukumbuka siku zilizopita alifanya collabo na Suma Lee katika studio ya Fundi Samweli inayofahamika kwa jina la Usanii Record sasa baada ya kuachia Audio katika vituo mbalimbali vya ma radio sasa leo ameachia video yake mpya"Boda Boda"


No comments:

Post a Comment