Friday, November 16, 2012

OMMY DIMPOZ FT VANESSA MDEE NEW TRACK



Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kwa jina la Ommy Dimpoz anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Nai Nai,Baadaye na ngoma zingine alizo shirikishwa na wasanii mbalimbali na ndipo alipoweza kufahamika kwa mashabiki kwa kupitia ngoma hizi mbili sasa.


Latest info nyingine ambayo ni mpya kuhusiana na msanii huyu ni kwamba leo amekuja kutambulisha ngoma yake mpya hapo mjengoni akiwa amemshirikisha mwanadada Vanessa Mdee kutoka Choice FM daaaah dzain wametishaa!!!!!!!!!!

1 comment: