HOME

Tuesday, December 4, 2012

" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA

MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume

Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.

“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,” alisema Dida.

No comments:

Post a Comment