Monday, December 24, 2012

HUU NDO UCHAFU UNAOFANYIKA WAKATI WA KUTOA MIMBA...WANAWAKE HUFANYISHWA NGONO ZEMBE KABLA YA KUHUDUMIWA

                                                             DR. JOSHUA
Habari ndugu zangu....

Leo nimeamua nizungumzie juu ya tukio lakusikitisha kidogo.Tukio hilo linawahusu wanawake ambao huenda kwa madaktari kutoa mimba......

Wanachofanyiwa wanawake hao UTAKAA CHINI ULIE....!!!......

Kabla ya kuhudumiwa, baadhi ya madatari hao huwafanyisha ngono zembe kwa madai kuwa MILANGO YAO NI MIDOGO NA KWAMBA ZOEZI HILO LITAKWAMA.......

Ili kuupanua mlango huo, daktari huomba penzi.Mbaya zaidi hata kondomu huwa hazitumiki.....

Mbali na kuombwa penzi, zoezi hilo mara nyingi hufanyika katika mazingira ya kujificha na wanawake zaidi ya 10 hutumia vifaa vile vile.......Pana usalama kweli hapo????

Sipendi nionekane mzushi au mpotoshaji.....
Naomba kuyathibitisha maelezo yangu kwa kutumia mkanda ambao ulitegeshwa katika hospitali ......

Mkanda huo unamuonesha Dr. Joshua ambaye hufanya mapenzi na wateja wake kabla ya kuwahudumia.....

Baada ya taarifa hizo kusambaa, wanahabari walifika katika hospitali hiyo kwa lengo la kutegesha kamera huku wakjifanya wana mimba na wanataka kuzitoa.....

No comments:

Post a Comment