HOME

Monday, December 17, 2012

HUU NDO UCHAFU UNAOTENDEKA GEST HOUSE....PESA YAGEUZWA LESO...

Ni vigumu sana kuamini, lakini hayando mambo yanayotendwa ndani ya nchi hii....

Pesa imeshushwa thamani na kugeuzwa tambara la kupangusia chafu.......Huku ni kuiabisha nchi


.Kauli mbiu itumikayo ni kwamba "LESO NI DHAHABU HUKUFAA WAKATI WA TABU".....

Ndugu zangu, tujaribu kumuogopa mungu japo kidogo.Kuna watu wanatabu sana hapa duniani.Ni bora kuwasaidia hao kuliko kuichezea pesa kiasi hiki

ASANTE SANA MDAU KWA KUFICHUA HIZI PICHA NA MAELEZO...


No comments:

Post a Comment