Wednesday, December 19, 2012

Martin Kadinda na Wema Sepetu washare picha zenye ‘utata’ Instagram

Wote tunafahamu kuwa Martin Kadinda ni meneja wa Wema Sepetu na wamekuwa na ukaribu kwa kipindi kirefu. Lakini hizi picha alizozipost Martin kupitia Instagram hivi karibuni akiwa na Wema huko Afrika Kusini zimeanza kuleta minong’ono.

Katika picha hiyo juu Martin aliiandikia, “I Heart em moments… She is spoiling me in a way I can’t say thank you and be enough.”


Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity………. She always say that….

Hapa ameandika: #InstaTrueLove…. I loove this Gurl…. She is so pure and Ril…… Kila mtu anakasoro zake… Wema wake ni zaidi ya kasoro zake…. @wemasepetu love kimaria maria


No comments:

Post a Comment