Thursday, December 13, 2012
NAMELESS AVAMIWA NA VIBAKA
Msanii Nameless wa Kenya mwishoni mwa wiki hii amevamiwa na kundi la wezi huko Dandora nchini Kenya wakati akiingia katika gari lake akitokea club. Garini mwake iPod pamoja na laptop vilisalimika baada ya baunsa mmoja kuingilia. Watu hao walifanikiwa kumwibia katoni ya bia za kopo tu na kutokomea nayo gizani baada ya baunsa mmoja wa eneo hilo kujitokeza kumuokoa msanii huyu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment