HOME

Monday, December 17, 2012

PICHA ZA MADENT WA CHUO WAFANYA UCHAFU . HOSTELI ZAGEUZWA MADANGURO




Madenti Wote Mashuleni na Vyuoni: Kuweni Makini Sana na Mchezo Huu. Vinginevyo Mtaendelea Kuadhirika Ninyi Pamoja na Familia Zenu !!!wanafunzi wengi wa vyuo na shule za sekondari wamekuwa wakijiachia sana kwa swala la kuachia miili yao itumike kama biashara ya nyama huku wakiona kuwa wanacho kifanya kiko sawa bila kuangalia atadharirika vipi na familia yake kwa ujumla.

Haya yanatokea baada ya kuwa na tamaa ambazo hazina msingi wowowte kwenye maisha yao kama unaweza kufanya biashara ya ngono kwanini unasoma na unasoma ili iweje kama biashara ya ngono unaiweza madharirisha hata wasichana wengine ambao hawafanyi hiyo biashara na mtu msomi hawezi fanya huu ujinga kuweni makini sana na mnachokifanya!!!!!!!!!

2 comments:

  1. mi naona hata kuziweka picha hizi kwenye mtandao inaongeza mmomonyoko wa maadili. kwani wengine kwa ujinga hufanya hivyo ili wawe maarufu. hivyo unapowaingiza kwenye mtandao malengo yao hufikiwa na kushawishi wengine kuiga. mwisho itafikia mahali itakuwa jambo la kawaida. zamani ilikuwa msichana akivaa nguo fupi ni issue lakini sasa mpaka watu waone nyeti za mtu ndio hustuka na tunapoelekea inaweza fikia mahali mpaka kitendo cha zinaa kifanyike hadharani(kwa maana ya kwamba kutembea uchi itakuwa si issue) hivyo wanablog wote epukeni kuziingiza picha hizi kwenye mitandao kwani maelezo yatosha na ikiwezekana kumtafuta muhusika. au mfanye research mtupe data kwamba kwa namna mnavyofanya hali inaendelea au inapungua. kwa mi binafsi naona hali inazidi kuwa mbaya zaidi.

    ReplyDelete
  2. fateni kusoma wapuuzi nyie hamjuikuwa wazazi wenu wanalala njaa kwaajili yenu mpate elimu? hamuona kama mna watia hasala sana wazi wenu? badilikeni

    ReplyDelete