Jonas Musa

Friday, December 14, 2012

SHILOLE AKIDENDEKA NA MWANAMKE MWENZIE....

MSANII wa filamu ambaye pia anafanya muziki, Zuena Mohammed ‘Shilole’ na demu mwenzake aliyefahamika kwa jina la Hawa Juma ‘Mama Ayana’ hivi karibuni waliwaacha watu midomo wazi baada ya kugandana kimahaba mbele za watu.

Tukio hilo lilitokea Msasani jijini Dar kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi ambako kulikuwa na pati ya kusherehekea kuzaliwa kwa Hawa.

Wakiwa eneo hilo, wawili hao walionekana kuwa karibu sana na lilipofika zoezi la kulishana keki na kufika zamu ya Shilole aliyekuwa MC, Hawa aliweka pembeni ‘stiki’ aliyokuwa akiitumia kulishia watu wengine kisha kutumia mdomo wake kumlisha msanii huyo.

Kitendo cha wawili hao kugandishiana midomo yao huku wakionekana wenye hisia, kilichukua muda wa takriban sekunde 60, mazingira yaliyowafanya baadhi ya waalikwa kuanza kunong’ona kuwa, kilichofanyika ni usagaji.

Posted by Unknown at 5:54 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: G K

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Blog Archive

"Asiyefanya kazi na asile so vijana tufanye kazi"

Unknown
View my complete profile

MOST TOPIC

  • AIBU: VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ( COLLAGE ) KILICHOPO DODOMA YAVUJA....WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA
    Baadhi ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ngono.. Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo ...
  • http://carfromjapan.com/en/campaign/giveaway-xmas-2015/ranking/567019b6dc03c03b1fcb8704
    http://carfromjapan.com/en/campaign/giveaway-xmas-2015/ranking/567019b6dc03c03b1fcb8704
  • JACK WOLPER AMTAMBULISHA RASIMI MCHUMBA WAKE KWA MBWEMBWEE ZA MILIONI 19....
    ALHAMISI iliyopita (Desemba 6, 2012), ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Jacqueline Wolper, jioni yake ndani ya Synergy Lounge, Oysterbay, Da...
  • (no title)
    http://issamichuzi.blogspot.com http://www.aitvapp.com/
  • PICHA ZA UTUPU ZAENDELEA KUUTAFUNA UTAMADUNI WETU.....
    Tamaa ya pesa imeendelea kuwa kikwazo katika maisha yetu ya kila siku....... Matuko ya ajabu yenye tamaduni za nchi za magha...

HOME

  • HOME
  • HABARI
  • HABARI ZILIZOPO
  • HABARI ZA NJE
  • MICHEZO
  • LOVE STORY
  • PICHA ZA NGONO TZ
  • MAGAZETI
By GK. Picture Window theme. Powered by Blogger.