HOME

Thursday, December 13, 2012

UONGOZI MPYA WA BONGO MOVIE.......RAY ALAMBA SHAVU



 Shilole akipiga kura
 Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jacklin
 Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper
 Irene Uwoya na Chiki

Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya -Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.




No comments:

Post a Comment