HOME

Friday, December 14, 2012

WASANII WA BONGO MOVIE WALIPONASWA WAKIFANYA MAPENZI VICHAKANI.....

Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, walikutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.

Hili ni tukio la aina yake lililowahi tikisa bongo movie kati ya mwaka 2011/ 2012.......

Tangu mwaka jana kumekuwa na mfumuko wa kasi kwa wasanii wa kibongo kupiga picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni huku wengine wakijiuza live...!!!

Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa karibu kimahaba ambapo walikwenda kukaa chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.

Inasikitisha sana kuona binadamu wa leo tukifanya mapenzi kama wanyama wa porini..Huu ni ushamba..!!

Tutaendelea kulirudia tukio hili kila mwaka ili tukinusuru kizazi cha kesho....

No comments:

Post a Comment