HOME

Tuesday, December 25, 2012

WISHING YOU A MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR



Gkaakamimi inawatakia sikukuu njema ya christmas na Happy New Year mshereke kwa Amani na Utulivu mkisisitizwa kuwa makini katika misafara ya Barabarni, Pia mnakumbushwa miji yenu msiiyache bila kuwa na mtu hata mmoja wa kuiangalia na pia awe na simu yakuweza kutoa taarifa pindi tatizo linapotokea.

Nawatakia siku njema na Yesu azaliwe katika moyo yetu,katika familia zetu Mungu awabariki mnaposherekea Christmas.

1 comment:

  1. Mungu awe nanyi katika sherehe ya leo Merry Christsmas to all my funys

    ReplyDelete