Siku ya ijumaa mitandao mbalimbali ya kijamii iliandika kuhusu Diva wa Kenya ,Avril kwamba hivi karibuni alipotua bongo alijiachia kihasara na kujikuta akiishia kugawa penzi kwa msanii Diamond...
Baada ya habari hizi kuzagaa kila kona,Avril ameamua kuvunja ukimya na ufunguka ya moyoni kuhusu uhusiano wake na Diamond......
avril alipokumbwa na kashfa ya usagaji
"Mimi na Diamond ni marafiki tu na ni ukweli uliwazi kuwa kuna wsichana wengine pia ambao walioneka katika video yake ya KESHO.....
Sisi tuliombwa tu tumpe "sapoti" katika video yake yake ya NATAKA KULEWA na KESHO ambayo ilifanywa na Ogopa DJs......
Sijawahi toka na Diamond na kwenda Zanzibar kuspend kama ambavyo watu wanada.Nashangaa ni nani aliyesambaza huu uzushi".....Avril
No comments:
Post a Comment