HOME

Friday, January 4, 2013

MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.


Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya




No comments:

Post a Comment