HOME

Thursday, January 3, 2013

NILISHAURIWA NA MAMA YANGU KURUDI MACHOZI BAND"....MWINYI

Kama unakumbuka siku zilizopita Lady Jaydee aliweka ujumbe katika ukurasa wa facebook na kuomba maoni kutoka kwa wananchi kuhusiana na Mwinyi,kurudi katika band yake,sasa leo Mwinyi ameeleza ukweli na kusema kwamba hakuwa na ndoto za kurudi katika band hiyo bali ni mama yake mzazi ndiye alimshauri na ndiyo maana ameweza kurudi tena kundini.

Hayo ndiyo maneno ya Mwinyi baada ya kuamua kuweka ukweli juu ya Machozi Band.

No comments:

Post a Comment