Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya Wema Sepetu lakini kwa picha hizi tunahisi yanaweza kuanza tena kwa kishindo! Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!!
No comments:
Post a Comment