HOME

Monday, January 7, 2013

PICHA TATA ZA WEMA SEPETU ZASAMBAA TENA....MATITI, KITOVU VYOTE HADHARANI

Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya Wema Sepetu lakini kwa picha hizi tunahisi yanaweza kuanza tena kwa kishindo! Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!!

No comments:

Post a Comment