HOME

Wednesday, December 19, 2012

Happy birthday Irene Uwoya na Shilole

Leo ni siku ya kuzaliwa ya wanadada wawili wa tasnia ya sanaa ya filamu na muziki, ambapo tukiwa kama wadau wa tasnia hizo mbili tunapenda kuwatakia kina dada Irene Uwoya na Shilole, kheri na fanaka katika siku yao ya kuzaliwa. Happy birthday to you divas.

No comments:

Post a Comment