HOME

Wednesday, December 19, 2012

Lionel Messi akubali mkataba mpya na Barcelona hadi mwaka 2018


Mshambuliaji Lionel Messi amekubali kuongeza mkataba wake na klabu ya Barcelona ambapo atakuwa na klabu hiyo hadi mwaka 2018.

Wengine walioongeza mkataba ni pamoja Xavi na Carles Puyol watakaokuwa na klabu hiyo hadi mwaka 2016.Mkataba wa sasa wa Messi unaisha June 2016.Mchezaji huyo ameufurahia mwaka huu kwa kufikisha goli lake la 90 kwa mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment