HOME

Saturday, December 1, 2012

UZINDUZI WA ALBAM YA MASHUJAA NA JB MPIANA YAINGIA DOSARI.....MMILIKI AZIMIA NA KUKIMBIZWA HOSIPITALI

Watu mbalimbali wakiwa wamelizunguka jenereta leo usiku
Mwanamuziki kutoka DRC-Congo,JB Mpiana akitumbuiza jukwaani mara baada ya kupanda mnamo majira ya saa tisa kasoro,baada ya hitilafu za umeme kwenye jenerata kurekebishwa.
-------------------------
SHOO YA UZINDUZI WA ALBAM YA PILI YA MASHUJAA BAND, ILIINGIA DOSARI NA KUTAKA KUSHINDWA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB USIKU HUU KUTOKANA NA KATIZO LA UMEME LA MARA KWA MARA LINALOSABABISHWA NA JENERETA LINALOTUMIWA KUTOA UMEME KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB,JIJINI DAR.

HALI HIYO ILIPELEKEA MMILIKI WA BENDI YA MASHUJAA,MAMA SAKINA KUPOTEZA FAHAMU NA KUKIMBIZWA HOSPITALI.


No comments:

Post a Comment