Friday, November 16, 2012

BAADA YA NEY WA MITEGO KUMKANA NISHA, PICHA ZAO ZA KIMAHABA ZIMEVUJA NA KUENEA KILA KONA



Picha hizi zimesambaa kwa kasi ikiwa ni siku moja tu baada ya NEY KUKANUSHA KUWA HANA UHUSIANO NA NISHA ...

Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa "MADONGO" Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...

Kumbe na yeye alikuwa anaponea huko huko

No comments:

Post a Comment