Friday, November 30, 2012

"UBUNGE NI KAZI YA KIBWEGE..." AFANDE SELE KATIKA XXL JANA



"Ubunge ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini" Afande Sele

No comments:

Post a Comment