Sunday, November 25, 2012

BREAKING NEWS: SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

MSANII WA VICHEKESHO NA MUZKI SHARO MILIONEA AMEFARIKI LEO HUKO MUHEZA TANGA KWA AJALI YA GARI AMBAPO NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI AMETHIBITISHA TUKIO HILO KWA NJIA YA SIMU .....

Naye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao.......

Kwakweli ni majonzi sana kwa Tanzania kupoteza vipaji kama cha R. I.P sharo milionea daa inauma sana Mungu amlaze mahali pema
peponi.

No comments:

Post a Comment