Tuesday, May 21, 2013

BREAKING NEWS : Prof. Jay ajiunga CHADEMA

BREAKING NEWS : Prof. Jay ajiunga CHADEMA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA

No comments:

Post a Comment