Friday, November 30, 2012

JB MPIANA TOKA DRC ATAWASHA MOTO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS LEO JIONI

MASHABIKI wa muziki wa dansi wametakiwa kujitokeza kwa wingi leo katika viwanja vya Leaders, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kushuudia onyesho la kukata na shoka litakalofanywa pamoja na nguli za muziki, JB Mpiana, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Bendi ya Mashujaa Musica (Watoto wa Mama Sakina).

Kwa mujibu wa ofisa habari wa Mashujaa, Asha Kigundula, alisema bendi yake ya Mashujaa imepania kuonyesha shoo ya nguvu na JB Mpiana.

No comments:

Post a Comment