Monday, November 19, 2012

MADAKITARI NA WAUGUNZI INCHINI WAMETAKIWA KUJALI WAGONJWA


Madaktari na wauguzi nchini wametakiwa kuweka mbele thamani ya utu wa maisha ya binadamu, kuliko kutanguliza mbele maslahi ya fedha, kwa kuwa huo ndio msingi mkuu na maadili ya fani ya uuguzi nchini.

No comments:

Post a Comment