HOME

Wednesday, November 14, 2012

SHETTA AFUNGUKA KWANINI COLLABO NA JIDE LIMEFELI;


 "Mwanzo alikuwa amekubali kabisa na nikampa title ya "Bonge la bwana" lakini alipokuja kuiskia mistari akasema hakujua kama mimi nimeimba hicho nilichoimba so ni ngumu yeye kuimba sababu hafit kwenye idea hiyo maana hata kiumri yeye ni mkubwa kwangu, ila akasema labda niibadilishe kidogo idea kitu ambacho nimeona kitafanya na mimi nibadilike kuanzia mwanzo mpaka mwisho huku ngoma tayari iko poa. So nimeamua kuifanya na Linah na Jide kasema poa nifanye na mtu mwingine halafu yeye ntakuja kufanya nae wimbo mwingine" Ameelezea Shetta. Unadhani kwanini ilishindikana?

No comments:

Post a Comment