Saturday, November 17, 2012

WEZI WA NG'OMBE WAUA WANAJESHI 42 NCHINI KENYA


Siku chache tu baada ya kuuawa kwa maafisa wa polisi 42 sasa imedhihirika kuwa waasi hao waliotekeleza mauaji hayo bado wamepiga kambi katika milima ya Suguta wakiwa na mifugo iliyoibiwa.

Mpaka sasa, imebainika kuwa hakuna maafisa wowote wa kulinda usalama waliotumwa katika mlima huo kukabiliana na makachinja hao. Baadhi ya familia za waathiriwa zinadai mauaji hayo ya jamaa zao yamezingirwa na propaganda nyingi

No comments:

Post a Comment