HOME

Monday, December 17, 2012

Mtangazaji wa Times FM, Amina Singo afariki dunia

Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Afro Vibes cha Times FM, Amina Singo amefariki dunia.

Amina amefariki dunia jana baada ya kuugua.

R.I.P Amina.

No comments:

Post a Comment