Tuesday, December 4, 2012

DHAMBI YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE NA MAPENZI YA JINSIA MOJA YAZIDI KUTUMALIZA

Miji ya Sodoma na Gomora, Jordan iliangamizwa na kizazi cha Lutu kugeuzwa miamba ya chumvi lakini hali halisi ya Tanzania inakaribia kuzidi kila uchafu uliomchukiza Mungu na kusababisha maangamizi.

Kasi ya watu kuhusudu mapenzi ya kinyume na maumbile, namna ngono inavyorahisishwa mitaani, uvaaji wa mastaa wa kike Bongo na hulka ya baadhi kuuza miili yao kama njia ya mkato ya kupata mafanikio ni pointi zinazotosha kuifananisha Bongo na Sodoma....



Usaliti na kufumaniana ni jambo la kawaida kabisa kwa tanzania yetu ya leo......Madanguro na disco za nusu uchi ni mambo ambayo yanazidi kushika kasi.

Mbaya zaidi ni kwamba vituo vingi vya kutoa huduma za masaji navyo vimegeuzwa madanguro ya kufanyia uchafu wao......


Inasemekana kwamba mteja anapohudumiwa masaji, anaruhusiwa kuomba huduma ya ziada (penzi) halafu hutozwa kwa bei ya maelewano kati yake na mtoa huduma na kondomu siyo muhimu maana mteja ni mfalme, kwa hiyo anayetoa fedha ndiyo huomba aina ya mtindo anaopenda.

ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)

napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .

Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke .......

Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO

kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....

Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..

Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA

Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...

Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....

Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.


No comments:

Post a Comment