Monday, December 17, 2012

MAMA AFURAHIA KUANGALIA MKANDA WA NGONO WA MWANAE ......

Kwa kawaida ni ngumu sana kukaa kitako na mzazi wako na kuangalia hata still picture za watu wakiwa watupu, ama inakuwa ngumu zaidi na kiafrika ni kama haiwezekani kuangalia filamu ya ngono na mzazi wako.
Lakini kwa Kristen Stewart mrembo aliyeing’arisha series kali ya Twilight Saga imekuwa tofauti zaidi kwa kuwa yeye na mama yake Jules Mann-Stewart wameweza kukaa pamoja na kuangalia scene ya ngono aliyocheza akiwa kwenye gari na wanaume wawili.


Part ya Kristen akiwa mtupu katika scene ya X


Kristen Stewart mwenyewe alifunguka na kuelezea jinsi anavyokumbuka siku hiyo walipoangalia scene hiyo na mama yake na kwamba mama yake alienjoy sana akaipenda kuiangalia na akamsifia!



“Ile ilikuwa experience ya kufurahisha, aliipenda badala ya kuiponda,” alifunguka. “kwa upande wangu nadhani kila mtu alifurahia kuwa ilichukua miaka miwili hiyo filamu kukamilika, mama alikuja kuiona, aliipenda,” alifunguka mrembo huyo na kusisitiza “she was really proud.”



Katika scene hiyo ya ‘X’ mrembo huyo anaonekana katika gari akiwa mtupu na wanaume wawili ambao ni Sam Riley na Garrett Hedlund.



Kristen Stewart yuko busy sana katika kipindi hiki akijaribu kufanya promotion ya filamu yake mpya ‘On The Road’ kabla haijaanza kuoneshwa kwenye kumbi maarufu ambazo zitachaguliwa kuionesha kwa mara ya kwanza December 21.


Hii ni sehemu ya video hiyo.tumeshindwa kuiweka video nzima kutokana na swala la maadili

No comments:

Post a Comment