K24 TV ya nchini Kenya ambayo ilianzisha kipindi kinachoitwa Connect ;Mombasa Raha position kwa lengo la kuzunguzia maswala ya mahusiano ya kimapenzi kama vile uchumba, ndoa namengine mengi kama zinavyofanya radio nyingi za hapa bongo mida ya saa nne hadi sita usiku.
sasa K24 TV wamevuka mstari na kuanza kufundisha mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi na jinsi ya kufanya kwa usahihi zaidi kupitia kipindi hicho.
Katika kipindi hicho kinachoendeshwa na msichana ama unaweza kumuita mwanamke anaeelezea aina ya style, anapewa kampani na mwanadada mwingine ambae anaact kama mwanaume ili kutoa maelekezo kwa vitendo.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema katika hii dunia itafikia hatua ngono pia itawekwa kwenye orodha ya basic needs siku za usoni, lakini kwa sasa hivi ipo kati ya mahitaji muhimu sana kwa baadhi ya watu ukishakuwa na basic needs yaani mavazi malazi na chakula.
daaa kweli dunia inamabo
ReplyDelete