Wednesday, December 19, 2012

Congrats: Victoria Martin apata mtoto wa kiume

Aliyewahi kuwa Miss Tanga na balozi wa Redd’s mwaka 2007 Victoria Martin amejifungua mtoto wa kiume.

Gkakamimi inampongeza Victoria na baba mtoto kwa ujio huo wa mtoto wao.

No comments:

Post a Comment