Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries imeendelea na kampeni iliyoipa jina la ‘Say it Without Saying’ ambayo lengo lake ni kutoa zawadi za mwisho wa mwaka.
Meneja wa Kampuniya Kioo Ltd Bw. Kishir, akipokea oda ya vinywaji vikali vya Johnnie Walker kutoka kwa balozi wavinywaji vikali wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd baada ya kufanya oda hiyo na kufungiwa kwenye mfumo mzuri wa zawadi katika Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za Kioo Ltd zilizopo Chang’ombe, DSM.
Saying Without Saying it inawasisitiza watu kutoa zawadi kwa wawapendao badala ya kusema kwa maneno ambapo katika kipindi hiki cha sikukuu zawadi ya Johnnie Walker ndio muafaka.
No comments:
Post a Comment